Contact Us
Location Address
Kikundi hiki kitajulikana kama UMOJA WETU KARAGWE NA KYERWA (UWKK).Anuani ya kikundi hiki itakuwa ni sanduku la barua S.L.P 72249 Dar es salaam. Anuani ya makazi ambayo ni Makao Makuu ya Kikundi hiki yatakuwa ni k a t a y a Kijichu Mtaa Misheni Wilaya- Temeke Mkoa Dar es Salaam.
Temeke,
Dar es salaam,S.L.P 72249.
info@uwkk.com
+255 753 000 000