Ni Kikundi cha Kijamii cha Kimaendeleo ya kijamii na Kiuchumi (Community Based Organisation) na kinajihusisha na kusaidiana kwenye shida na raha, Kikundi hiki kipo kwa kutimiza au kutekeleza yafuatayo:-
Kushirikiana kufanya miradi mbalimbali ya Kiuchumi na Kijamii kwa maendeleo ya kikundi na ustawi wa wanachama.
Umoja wa wanyambo Karagwe na kyerwa, umeundwa kwa wanachama kutoka sehemu mbali mbali za dunia ikiwa ni ndani na nje ya Tanzania, mhimu uwe mzaliwa wa karagwe na kyelwa Tu.
Read MoreACTIVE MEMBERS
INACTIVE MEMBERS
WOMEN
MEN
Msaada wa Dharura
Katika hali za dharura, kama vile magonjwa, misiba, au majanga ya kiasili UWKK ndio
kimbilio.
Umoja wa kijamii na kufahamiana na ndugu na jamaa.
Tuko mahali popote Tanzania na nje ya Tanzania, Tunaunganisha wanakaragwe na kyerwa pamoja ili kuenzi tunu za wanyambo na ufalume wa Omukama.
Mdhamini mkuu wa kikundi
Vodacom Power to you
Bank ya Biashara